Kama mna timu ya vijana ya mpira wa miguu kuanzia umri wa miaka kumi nanne hadi miaka ishirini na tano na hamna mtuyeyote anaye anye wafikisha katika malengo ondoa shaka sisi tupo kwaajili ya vijana piga simu nambari: 0713-412 366 /. Kwawewe mkaazi wa Dar es salaam Tanzania, kama una wadogo zako ama kuna vijana hapo mtaani kwako wana penda mpira wape habari na wasaidie bahati hii.
the Silver One planet Champions Africa
![the Silver One planet Champions Africa](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjyCXmOjj76WzpCdFz6We_NFNBdbDKp52b2KcC7xvqdDjFJOIlp_JHj65sf9b8XbDr9v3OUYMy4GTyZJDkMnHjmuny2AiZih93V9F0JoYcIkIAE8hivOp1ojuIz67UIr73VbGpiXJqDDPm0/s1600/SPORTS+SPOTS+BLOGS.jpg)
HUU NI MTANDAO WA MICHEZO - TANZANIA NA AFRICA
Jumatatu, 13 Juni 2016
Ijumaa, 20 Mei 2016
The New Planet Sports Club
Kupitia Mtandao Wamichezo wa The Silver One Planet Champions Africa. Tumea anzisha club ya Michezo Tanzania, nahii ni fursa ya vijana katika michezo. Tuna tambua michezo na kipaji na pia michezo ni biashara kubwa duniani, tutatangaza nafasi kwa vijana wa Tanzania
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)